Monday, April 4, 2016



@professorjaytz amesema nembo (logo) iliyokua inatumika kumtambulisha Rais Magufuli wakati wa kampeni ni mfano wa nembo ya studio yake ya MWANALIZOMBE. Amesema Nembo yake ameanza kuitumia Miaka 3 iliyopita...Baada ya kuonekana nembo ya Rais Magufuli watu hawanunui tena tshirt zake, ila Professor Jay amesema kwamba yeye atabadilisha aina ya LOGO hiyo na kuweka LOGO nyingine kutokana hatoweza kumpeleka Mh Rais Magufuli mahakamani maana hawezi kushindana na mkuu wa nchi na hatoweza kuendelea na LOGO hiyo tena kutokana na yeye anatokea chama tofauti na Mheshimiwa Rais, kwa habari za uwakika endelea kupitia page na blog zetu za ‪#‎KinondoniShambaGazeti‬

No comments:

Post a Comment