Sunday, June 26, 2016

AJALI: Meli ya mizigo iitawayo HAPPY imezama katika eneo la Chumbe, Unguja ikiwa safarini kutoka Dar kwenda Zanzibar
- Wafanyakazi sita wa meli hiyo wameokolewa

No comments:

Post a Comment