Monday, June 27, 2016

DAR: Jeshi la Polisi limewaua watuhumiwa wa mauaji yaliyotokea msikitini Mwanza na ya Amboni Tanga leo katika mapambano eneo la Buguruni.
- Kamishna wa Polisi Dar, Simon Sirro amesema mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya watu 8 mkoani Tanga aliyefahamika kwa jina la Abuu Seif ameuawa juzi katika mapambano na askari maeneo ya Kimara
Zaidi, soma => http://bit.ly/28Xwicu

No comments:

Post a Comment