MSAJILI ATAKIWA KUIFUTA CUF ENDAPO ITAJAZA NAFASI YA PROF.LIPUMBA..
'' Sasa ni wazi Chama Cha CUF Huenda kikafutwa ni Endapo kitathubutu kufanya UCHAGUZI wa kujaza nafasi ya Profesa Lipumba ...
"" Jopo la WASOMI wa SHERIA kutoka chuo kikuu cha Dar ess alaam UDSM limesema litashangaa sana Endapo chama cha CUF kitathubutu kufanya UCHAGUZI huo na Endapo utafanyika wako tayari kufungua SHAURI mahakamani kuomba kufutwa kwa chama hico .
Professa Lipumba HAKUJIULU UENYEKITI Cuf Kwa HOJA za KISHERIA
*WANASHERIA 15 Wamesema Professa Lipumba BADO MPAKA sasa ni MWENYEKITI wa Cuf kwa MUJIBU WA KATIBA ya Cuf *
*Wasomi hao wa SHERIA wanapingana na WANASIASA wanaodai kwamba Prof Lipumba amekwisha JIUZULU hii ni kutokana na Katiba ya Cuf*
** Wanasheria kwa pamoja wameipitia KATIBA ya CUF kifungu kwa kifungu na kujiridhisha kuwa " ili Prof Lipumba awe AMEJIUZULU ni lazima (sio ombi) barua yake ipelekwe kwenye mkutano mkuu wa Taifa wa Cuf na ijadiliwe"
**Taratibu za Professa Lipumba KUJIUZULU bado hazijakamilika hivyo ni makosa KISHERIA kuitisha UCHAGUZI kwa nafasi ya MWENYEKITI.
"MADHARA YA KULAZIMISHA JAMBO HILI NI MAKUBWA SANA KISHERIA"
Kama Msajili wa vyama Mhe MUTUNGI akifuata SHERIA bila kumuonea HAYA mtu kunaweza kutokea MGOGORO mkubwa sana wa KISHERIA na hata ikibidi KUKIFUTA CHAMA..
*Nafasi ya Mwenyekiti wa Cuf HAIPO WAZI KISHERI haipaswi kujazwa wala kuitishwa uchaguzi kwa mujibu wa KATIBA Cuf.
** TUMEISOMA KATIBA YOTE TUNASUBIRI KUONA MSAJILI KAMA ATABARIKI UVUNJIFU HUU WA KATIBA
*Tunafahamu chama cha Cuf kinawasomi wa SHERIA lakini hatujui kwa nini wanashindwa KUWASHAURI viongozi wao KITAALUMA na badala yake Wanawafurahisha tu bila kupima MADHARA yaliyopo kwenye jambo hili ..
**HONGERA KWA WAFIA CHAMA KWA KUFANIKISHA KUSANYIKO HILI LA WANASHERIA NA HATUA MLIZOFIKIA KATIKA MAAMUZI...
** HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA
No comments:
Post a Comment