Picha iliyopigwa na Sam Nzima, ikimuonyesha mtoto Hector Pieterson
ambae aliuwawa na Polisi wa Afrika ya Kusini akiwa na miaka 13; Mwili wa
Hector ulibebwa na mwanafunzi mwenzake huku dada yake akifuata.
Hiyo ndio picha ya kwanza iliyopigwa na kusambaa Duniani kote
ikionyesha mauji ya hayo na mpaka sasa inatumika kama nembo ya kipekee
kukumbuka tukio la Mauaji ya Soweto (Soweto Uprising of 16,June, 1976)
No comments:
Post a Comment