......Wiki
moja baada ya Serikali ya Mh. Dk. Pombe kufuta Umisetta kuokoa shilingi
1.5 Bilioni za madawati, Kiungo wa Umisetta ya zamani Kenya, Victor
Wanyama amesaini mkataba wa miaka mitano Tottenham ambao utampatia
shilingi za Kenya milioni 35 kwa mwezi ambazo ni sawa na shilingi za
Tanzania milioni 744 kwa mwezi, ambazo katika miezi miwili anaweza
kujitolea kufuta tatizo la madawati Tanzania......Mh. George
Simbachawene upo?
No comments:
Post a Comment