Friday, June 24, 2016

#‎WhiteParty__Ya__Mwisho‬..... Siku Ya ‪#‎iddi2‬ Kabla Ya ‪#‎Kuwhitepartyka‬ asubuhi Yake Kutakuwa na Mashindano Ya Kukimbia ‪#‎Marathon‬.... Kuanzia ‪#‎Jumba_La_Mashaidi_Wa_Yehova‬...... Kuzunguka Kwa ‪#‎Dr_Andrew‬ na Kurudia njia Ya kituo cha ‪#‎Police‬ ...... Washiriki ni ‪#‎Watuwazima__Vijana__na__Watoto‬....... Washiriki Wote Wanapaswa Kujiandikisha Bila Kusahau Zawadi KemKem Kwa ‪#‎Washindi‬ Ambazo Zitatolewa ktk Hilo ‪#‎TAMBALA__La__WhiteParty__Ya__Mwisho‬......Namalizia Kwakuwataarifu imepewa nguvu na ‪#‎JoanMzungu‬ Ukipenda Directorjoan Matthysen Rafikiake ‪#‎WemaSepetunga‬ Dadaake Hemedi Wa Bongo & Anna Gilbert Msambazaji Wa ‪#‎DelaCreme‬... ‪#‎DelaCoco‬... Hapa ‪#‎Nchini_Tanzania‬

No comments:

Post a Comment