Sunday, June 26, 2016
Kardinali Giorgio Salvadore alitangaza rasmi kwamba miaka hii ni maadhimisho ya 1981 na ya mwisho kwa Vatican kumsubiri Bwana kurudi duniani. Ila bado anawahimiza wafuasi wa Yesu waendelee na imani yao, bila kujari habari wanayohisikia.
Kardinali Salvadore alisema, "Tunahisi kwamba Yesu harudi tena kwa mtazamo wetu.Imepita miaka mingi sasa.Pengine anajenga gorofa la nje na kufanya mambo mazuri kwa watu sehemu nyingine."
Katika kitabu cha Yohana 14: 1-3 kwenye Biblia, Yesu aliwaahidi wanafunzi wake kwamba yeye atakuja tena:
"Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.
Kardinali alieleza kwamba Yesu amevunja ahadi yake, maneno hayo aliyasema pengine baada ya kunywa mvinyo.
"Kuwa na uwezo wa kugeuka maji kuwa mvinyo.Kila mtu anaweza kuweka ahadi na akashindwa kuzitekeleza kama yupo
na kilevi. Yesu hana tofauti, "aliongeza Kardinali Salvadore.
Kanisa limeahidi kujenga upya sifa yake duniani kote,na kuwa na matumaini kidogo kwa mkombozi kuja mara ya pili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment