KinondoniShambaGazeti
Sunday, January 15, 2017
Baraza la mitihani nchini(NECTA) limetoa matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili, shule za mtakatifu Franscis, Kilimanjaro Islamic na Kaizerege zaongoza.
-Asilimia 91 ya watahiniwa wafaulu, ufaulu waongezeka kwa asilimia 2 kulinganisha na 2015.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment