Huyu ndio kipa wetu kinda #Dennis_Richard
aliye fungiwa kutocheza mpira miaka 10 kwa tuhuma za upangaji matokeo
katika mchezo dhidi ya JKT Kanembwe,Alikuwa anadakia GEITA GOLD Kwa
Mkopo, Nayo Geita Imeshushwa Daraja.
KIUKWELI BADO MDOGO SANA NA
UKIANGALIA HYO ADHABU UNAMAANISHA NDIO UMEUA KIPAJI CHAKE CHA MPIRA NA
KM MAISHA YAKE ALITEGEMEA MPIRA BASI NDIO AANZE FANI NYNGNE....MUONO
WANGU ADHABU KUBWA MNOO WANGEFANYA HATA MIAKA MITATU ILA VIONGOZI NDIO
WAFUNGIWE ZAIDI
No comments:
Post a Comment