Rais Magufuli ashangaa kutomuona Meya wa Kinondoni, Boniphace Jacob
kwenye uzinduzi wa Mpango wa Usalama wa Jamii Viwanja vya Biafra Dar es
Salaam.
"Kwenye ujambazi hakuna chama, mstahiki Meya wa hapa
Kinondoni yupo kama yupo aje asalimie wananchi. Eehhh hayupo kwa hiyo
yeye ujambazi anautaka tu"
No comments:
Post a Comment