Watafiti wadai aina hii ya mende wanatoa Maziwa yenye protini kuliko ya ng’ombe
on
Kila siku
asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti
ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya
Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza
kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
Moja ya yalioandikwa ni huu utafiti kwenye gazeti la Mwananchi yenye kichwa ‘Maziwa ya mende yana protini kuliko ya ng’ombe’
No comments:
Post a Comment